MwanzoKRW / EUR • Sarafu
add
KRW / EUR
Bei iliyotangulia
0.00066
Habari za soko
Kuhusu Won ya Korea Kusini
The South Korean won is the official currency of South Korea. A single won is divided into 100 jeon, the monetary subunit. The jeon is no longer used for everyday transactions, and it appears only in foreign exchange rates. The currency is issued by the Bank of Korea, based in the capital city of Seoul. WikipediaKuhusu Yuro
Euro ni sarafu ya pamoja katika baadhi ya nchi za Ulaya. Wakazi wake 350,000,000 wanatumia kwa kawaida pesa hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa barani Afrika.
Tangu mwaka 2002 nchi 13 za EU zilifuta sarafu ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 20.
Euro moja imegawanyika katika senti 100.
Kuna benknoti za € 5, € 10, € 20, € 50, € 100, € 200, € 500.
Kuna sarafu za metali 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2.
Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya na ni sawa kote.
Sarafu zinatolewa na nchi wanachama na zinatofautiana upande mmoja, lakini sarafu zote hutumika kote. Wikipedia