MwanzoCNY / EUR • Sarafu
CNY / EUR
0.1315
27 Jan, 20:19:05 UTC · Kanusho
Viwango vya Ubadilishaji Sarafu
Bei iliyotangulia
0.13
Habari za soko
The renminbi, also known as the Chinese yuan, is the official currency of the People's Republic of China. The renminbi is issued by the People's Bank of China, the monetary authority of China. It is the world's fifth-most-traded currency as of April 2022. The yuan is the basic unit of the renminbi. One yuan is divided into 10 jiao, and the jiao is further subdivided into 10 fen. The word yuan is widely used to refer to the Chinese currency generally, especially in international contexts. Wikipedia
Euro ni sarafu ya pamoja katika baadhi ya nchi za Ulaya. Wakazi wake 350,000,000 wanatumia kwa kawaida pesa hiyo. Watu wengine 210,000,000 wanatumia pesa zilizoungwa na euro, hasa barani Afrika. Tangu mwaka 2002 nchi 13 za EU zilifuta sarafu ya kitaifa ili kutumia Euro tu. Siku hizi ni 20. Euro moja imegawanyika katika senti 100. Kuna benknoti za € 5, € 10, € 20, € 50, € 100, € 200, € 500. Kuna sarafu za metali 8 za € 0,01, € 0,02, € 0,05, € 0,10, € 0,20, € 0,50, € 1, € 2. Pesa ya karatasi inatolewa na benki kuu ya Ulaya na ni sawa kote. Sarafu zinatolewa na nchi wanachama na zinatofautiana upande mmoja, lakini sarafu zote hutumika kote. Wikipedia
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu