MwanzoBABA • NYSE
Alibaba Group
$ 80.53
Baada ya Saa za Kazi:
$ 80.51
(0.025%)-0.020
Imefungwa: 10 Jan, 20:00:00 GMT -5 · USD · NYSE · Kanusho
Hisa zinazouzwa MarekaniMakao yake makuu ni HK
Bei iliyotangulia
$ 83.69
Bei za siku
$ 80.40 - $ 82.25
Bei za mwaka
$ 66.63 - $ 117.82
Thamani ya kampuni katika soko
191.79B USD
Wastani wa hisa zilizouzwa
12.91M
Ubadilishanaji wa msingi
NYSE
Alama ya CDP ya Tabia Nchi
B
Fedha
Taarifa ya Mapato
Mapato
Mapato halisi
(CNY)Sep 2024Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Mapato
236.50B5.21%
Matumizi ya uendeshaji wa biashara
57.23B11.03%
Mapato halisi
44.03B58.12%
Kiwango cha faida halisi
18.6250.28%
Mapato kwa kila hisa
15.06-3.65%
EBITDA
43.66B2.96%
Asilimia ya kodi ya mapato
14.49%
Jumla ya mali
Jumla ya dhima
(CNY)Sep 2024Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Uwekezaji wa pesa taslimu na vipindi vifupi
388.79B-32.31%
Jumla ya mali
1.76T-2.70%
Jumla ya dhima
704.83B9.87%
Jumla ya hisa
1.06T
hisa zilizosalia
2.33B
Uwiano wa bei na thamani
0.20
Faida inayotokana na mali
4.97%
Faida inayotokana mtaji
6.82%
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu
(CNY)Sep 2024Mabadiliko Tangu Mwaka Uliopita
Mapato halisi
44.03B58.12%
Pesa kutokana na shughuli
31.44B-36.14%
Pesa kutokana na uwekezaji
964.00M104.06%
Pesa kutokana na ufadhili
-66.78B-439.35%
Mabadiliko halisi ya pesa taslimu
-36.84B-364.99%
Mtiririko huru wa pesa
-20.80B-143.78%
Kuhusu
Alibaba Group Holding Limited ni kampuni ya teknolojia ya kimataifa yenye makao makuu yake nchini China iliyobobea katika biashara ya mtandaoni na teknolojia. Ilianzishwa mnamo 28 Juni 1999 huko Hangzhou, Zhejiang kampuni hiyo hutoa huduma za mauzo ya watumiaji kwa watumiaji, biashara kwa watumiaji, na biashara kwa biashara kupitia lango za wavuti, pia hutoa huduma za malipo ya kielektroniki, injini za utaftaji wa ununuzi, na huduma za kompyuta ya wingu. Inamiliki na kuendesha matawi mengi ya kampuni ulimwenguni kote katika sekta nyingi za biashara. Mnamo 19 Septemba 2014, uwekezaji wa shea wa Alibaba kwenye Soko la hisa la New York ulikusanya dola za Kimarekani bilioni 25, na kuipa kampuni hiyo thamani ya soko la dola za Kimarekani bilioni 231. Hadi sasa IPO ni kubwa zaidi katika historia duniani. Ni mojawapo ya mashirika 10 yenye thamani zaidi na imetajwa kuwa kampuni ya 31 kwa ukubwa duniani kwenye orodha ya Forbes Global 2000 mwaka 2020. Mnamo Januari 2018, Alibaba ilikuwa kampuni ya pili katika bara la Asia kwa kuwa na thamani ya dola Kimarekani bilioni 500, baada ya mshindani wake kampuni ya Tencent. Wikipedia
Afisa Mkuu Mtendaji (CEO)
Ilianzishwa
4 Apr 1999
Wafanyakazi
197,991
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu