Mwanzo1810 • HKG
Xiaomi
$ 32.80
13 Jan, 16:08:17 GMT +8 · HKD · HKG · Kanusho
HisaHisa zinazouzwa HK
Bei iliyotangulia
$ 33.55
Bei za siku
$ 32.30 - $ 33.50
Bei za mwaka
$ 11.84 - $ 36.85
Thamani ya kampuni katika soko
823.41B HKD
Wastani wa hisa zilizouzwa
165.86M
Uwiano wa bei na mapato
40.58
Mgao wa faida
-
Ubadilishanaji wa msingi
HKG
Alama ya CDP ya Tabia Nchi
B
Kwenye habari
Kuhusu
Kampuni ya Xiaomi, inajulikana kawaida kama ximi na imesajiliwa kama Xiaomi Inc. Ni kampuni inayojikita na utengenezaji wa vifaa mbalimbali vya simu, na vifaa vya nyumbani. Ni mtengenezaji wa pili kwa ukubwa wa simu ya mkononi duniani, nyuma ya Samsung, ambayo kwa kiasi kikubwa inatumia mfumo wa Android. Kampuni hiyo inashika nafasi ya 338 na ni kampuni changa. Ifikapo 2015, ilikuwa inaendeleza anuwai kubwa ya elektroniki za watumiaji. Mwaka 2020, kampuni hiyo iliuza simu milioni 146.3 na UI yake ya simu ya mkononi ya MIUI ina zaidi ya watumiaji milioni 500 kila mwezi. Kufikia 2023, Xiaomi ndiyo muuzaji wa tatu kwa ukubwa wa simu za mkononi ulimwenguni, na sehemu ya soko ya karibu 12%, kulingana na Counterpoint. Uwepo wake ulisababisha baadhi ya watu kuiita Xiaomi "Apple ya China". Imekuja na anuwai yake ya vitu vya kuvaa. Pia ni mtengenezaji mkubwa wa vifaa ikiwa ni pamoja na televisheni, torchi, ndege isiyokuwa na rubani, na kifaa cha kusafisha hewa kutumia mfumo wake wa Internet of things na Xiaomi Smart Home. Wikipedia
Afisa Mkuu Mtendaji (CEO)
Ilianzishwa
6 Apr 2010
Tovuti
Wafanyakazi
42,057
Gundua zaidi
Huenda unavutiwa na
Orodha hii imetokana na maudhui uliyotafuta hivi majuzi, hisa unazofuatilia na shughuli zingine. Pata maelezo zaidi

Data na maelezo yote hutolewa “kama yalivyo” kwa madhumuni ya taarifa binafsi tu, wala hayanuii kuwa ushauri wa kifedha na hayana madhumuni ya kufanya biashara au uwekezaji, kodi, kisheria, uhasibu au ushauri mwingine. Google si mshauri wa uwekezaji wala mshauri wa kifedha na haitoi maoni au mapendekezo yanayohusiana na kampuni zozote zilizojumuishwa kwenye orodha hii au hisa zozote zilizotolewa na kampuni hizo. Tafadhali wasiliana na dalali wako au mwakilishi wa kifedha ili uthibitishe bei kabla ya kufanya biashara yoyote. Pata maelezo zaidi
Watu pia hutafuta
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu